@MeTL_Group Je vipi nasisi wenye kutumia nguvu akili nasio vyeti mfano kupanga bizaa magodaun au kuhesabu nakutoa au kusimamia bizaa mbalimbali sipati Kaz aina iyo ?
@__abdulazack @kigogo2014 Moton sio hukumu ya Ya Muumba yule anasema Mungu kazaa ana mtoto ni mshirikina Munga anaumba tu azai Wala azaliwi ,ana anaeunga mkono maovu ni moton ushoga ni hatari ndoa za jinsia Moja ni laana wanao uunganga na wanaofanya moton
@najiniusnaj77@kigogo2014 Kua makini na kauli zenu mmetumwa kutuchonganisha mbona Leo bandali ipo vipi tunanufaika na nini?acheni ujinga mlitaka ajenan ?Kwan wakenya wao nan wakubali uko uingereza tu wapo wamewekeza nyie nan
@najiniusnaj77@kigogo2014 Acheni unazi wenu mmetumwa kutuaribu mnataka tuanze kugombana wenyewe Kwa wenyewe?akofu kaambiwa na Mungu Gani?kwani uaskifu kapewa na Mungu au na papa anaekubali ushoga?,
@TanzaniaLeaks Wakifanya waislamu wooote Tanzania nasisi tupitishe kumuuunga mkono raisi unazan tutaish kwaamini watanzania?kwanini akiwa rais wa kiislam juu choko choko kibao ivi mnajua Siri ya kua na aman?
@KimaroDeo12@TanzaniaLeaks Acha uongo uyu kafata maamrisho ya walaka wa askofu kabla hujatolewa rasmi iyo ni mipango na hujuma Kwa raisi akuna alienyooka hata mmoja wte wanaopinga ni manufaa yao