@AllyHapi Aha aha aha aha aha boss yan huyu jamaa amenikera haijawahi tokea ingefamika kuwa ni flani watuachie wananchi wenye hasira Kali tumchemshe supu,atuachie dady wetu tuendelee kumwombea
@HKigwangalla Uongozi bora wa Mh Rais John Magufuli wenye Tanzania mpya iliyojaa maendeleo ya kutosha mana unatengeneza future kizazi kijacho wa watoto wang ,wajukuu wang na vitukuu vyang,hicho ndo muhimu kwang