Retweets are not endorsments. Stay blessed. The Lord has done great things for us; we are filled with joy. Give thanks to the Lord for he is good,Amen #Arsenal#
Inasikitisha kuona taifa letu likijenga utamaduni wa kutokuwa wakweli, ubinafsi, na kuhalalisha vitendo vya ukatili. Ni wakati wa kutafakari kwa kina na kurejesha maadili ya uadilifu, utu, na uwajibikaji yanayojenga taifa letu.
Wamiliki wa project ya kumchafua Heche na tone tone leo wametoka fronti. AIBUUUUU..
KUCHANGIA TUMA PESA:
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Yet again, the Tanzanian State is weaponising the justice system to silence dissent. 23 CHADEMA members in Mwanza—10 from Ilemela and 13 from Nyamagana-have been slapped with trumped-up, non-bailable terrorism charges.
This escalating use of lawfare and politically motivated prosecutions risks becoming a blueprint for repression across the country, with similar charges likely to be instituted against opposition members elsewhere in the country.
#FreePoliticalProsoners #StopPoliticalPersecution
@AmnestyEARO@amnesty@Sikulandro@hrw@LawyersofAfrica@Smith_JeffreyT@HecheJohn@robertamsterdam@UN_HRC@UNHumanRights@achpr_cadhp@Commonwealth
Wakazi wa mitaa ya Pingoni na Thaluji, Kata ya Maweni jijini Tanga, wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wa kiwanda cha uzalishaji wa Chokaa na Gypsum kinachomilikiwa na Kampuni ya Bidhaa za Ujenzi ya Nanfang kilichopo eneo hilo , wakidai kuwa licha ya hatua za Serikali kupitia Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kukifungia kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Mazingira, shughuli za uzalishaji zinaendelea na kuwaacha wakiendelea kuathirika kiafya.
Wananchi hao wanasema moshi mzito, vumbi na harufu kali vinavyotoka kiwandani vimeendelea kuwasababishia changamoto za kiafya, huku wakisisitiza kuwa hawapingi uwekezaji bali wanataka mazingira salama yatakayolinda afya za wananchi wanaoishi jirani na kiwanda hicho.
Makamu Mwenyekiti wa Wakazi wa Pingoni, Ismail Banda, amesema wananchi waliwasilisha kilio chao hadi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga ambaye alifika Katika kiwanda hiko akiwa ameambatana na wataalamu wa NEMC na kukifungia kiwanda hicho, hatua iliyowapa matumaini kuwa adha hiyo ingemalizika.
Hata hivyo, amesema baada ya muda shughuli zilianza tena na hali ikawa mbaya zaidi.
Ameeleza kuwa baadaye wataalamu wa NEMC walirejea kufanya tathmini nyingine ya athari za mazingira, lakini wananchi hawakuwahi kupewa matokeo yake.
Kilichowatia wasiwasi zaidi, amesema, ni tangazo la Mkurugenzi wa Jiji la Tanga lililowataka wananchi kutoa maoni kuhusu ombi la kampuni kubadilisha matumizi ya eneo kutoka kiwanda kidogo kwenda kiwanda kikubwa, wakati malalamiko ya msingi bado hayajapatiwa ufumbuzi.
"Sisi hatutaki wawekezaji waondoke wala kiwanda kifungwe. Tunachotaka ni marekebisho yafanyike ili kisitoe moshi na harufu zinazohatarisha afya za wananchi. Kama hilo haliwezekani, Serikali itafute suluhisho litakalolinda maisha ya watu," alisema Banda.
Kwa upande wake Mkazi wa Pingoni na Mjumbe wa Serikali ya Mtaa, Mono Mboge Kitone, amesema aliwahi kufanya kazi katika kiwanda hicho kwa mwezi mmoja lakini alilazimika kuacha kutokana na mazingira aliyoyataja kuwa hatarishi kwa afya.
Amedai kuwa harufu kali, joto na ubora hafifu wa vifaa vya kujikinga vilimletea matatizo ya kifua na ngozi, hali iliyomfanya kuamua kuondoka na kuacha kazi kiwandani hapo ili kulinda afya yake.
Naye mkazi wa Pingoni, Mamyaki Msharo, amemshukuru Rais Samia na Mkuu wa Mkoa wa Tanga kwa hatua walizowahi kuchukua, lakini akadai bado kiwanda kinaendelea na uzalishaji huku wananchi wakiendelea kuathirika.
Amesema watoto wadogo wamekuwa wakipata matatizo ya kifua na kulazwa mara kwa mara kwenye vituo vya afya kutokana na moshi na harufu kali zinazotoka kiwandani, huku wananchi wakishindwa kupata usingizi nyakati za usiku.
Kwa upande wake, Haidi Shaban Hizza amesema moshi unaotoka usiku pamoja na harufu kali umekuwa ukiwasababishia vikohozi na matatizo ya mfumo wa upumuaji, akieleza kuwa hata ameogopa kwenda kuomba ajira kiwandani kutokana na hofu ya usalama wa mazingira ya kazi.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Thaluji, Andrea Clever Mhile, amethibitisha kuwa Serikali ya Mtaa imekuwa ikipokea malalamiko ya wananchi na kuyafikisha katika ngazi za wilaya na mkoa, hatua iliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Tanga kufika eneo hilo mara mbili na kuelekeza kiwanda kifanye maboresho.
Hata hivyo, amesema wananchi wameingiwa na taharuki baada ya kutolewa kwa tangazo la Halmashauri ya Jiji la Tanga kuhusu ombi la kampuni kubadilisha matumizi ya eneo la kiwanda, wakati changamoto zilizopo bado hazijapatiwa ufumbuzi.
"Tunawapenda wawekezaji kwa sababu wanatoa ajira na kuchochea uchumi, lakini maendeleo hayo hayawezi kuwa kwa gharama ya afya za wananchi. Tunaiomba Serikali ifuatilie kwa kina suala hili ili wananchi wanufaike na matunda ya maendeleo katika mazingira salama," alisema Andrea.
Kuishi katika nchi ambayo serikali inaweza kuamua tu kuwafungulia mashtaka ya ugaidi wananchi wake kwa sababu tu ya misimamo yao ya kisiasa ni zaidi hata ya utawala wa dictator; ni matumizi mabaya ya madaraka yanayotishia moja kwa moja maisha, uhuru na haki za wananchi.
Kuwa mwanachama wa chama cha upinzani (CHADEMA) nchini Tanzania si kosa la jinai. Ushindani wa kisiasa ni haki ya kikatiba, sio uhaini. Ikiwa serikali inaamini kuwa uwepo wa upinzani haukubaliki, basi inapaswa kufuata njia halali za kubadili mfumo na kuanzisha mfumo wa chama kimoja kwa uwazi. Lakini hadi hapo itakapofanyika hivyo, kila mwananchi na kila taasisi lazima iheshimu na kulinda Katiba ,Katiba hiyo hiyo ambayo mamilioni ya Watanzania wanataka ifanyiwe Reforms.
Utawala wa @SuluhuSamia unapaswa kuelewa kwamba uwajibikaji hauwezi kukwepeka kwa kutumia mashtaka ya ugaidi kuwanyamazisha wapinzani wa kisiasa. Matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, pamoja na mateso yaliyowakumba wale walioathirika, yanahitaji uwajibikaji.
Haki inayocheleweshwa ni haki iliyonyimwa. Tunaendelea kujitoa kufanya kila linalowezekana ndani ya misingi ya sheria kulinda demokrasia, kutetea haki za wananchi, na kuhakikisha Tanzania inaongozwa kwa misingi ya utawala wa sheria ambapo kila mtu anakuwa sawa mbele ya sheria.
Waachieni watu wote mliowapa kesi ya Ugaidi huko Mwanza na Mbeya.
Tukutane Mahakamani.
#KatibaMpyaNiSasa
#Freethemall.
Today Mwanza High Court charged 23 Tanzanians with terrorism. UDOM lecturer Melkisedeki Kaijage was about to walk free on bail, until authorities upgraded his charge to non-bailable terrorism.
samia suluhu hassan’s regime doesn’t fight real terrorists. It manufactures them to silence critics.
The world must act now, before Tanzania slides into Nicaragua or Iran-level repression.
@SenatorShaheen@SFRCdems@SenTedCruz@RepBrianMast@HouseForeignGOP@HouseForeign@EUinTZ@EP_HumanRights@EP_ForeignAff@SenatorRisch@davidmcallister
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Living in a country where the government can arbitrarily decide to accuse its own citizens of terrorism simply because of their political affiliation is a deeply troubling reality. It goes beyond authoritarianism; it represents a dangerous abuse of power that threatens the very lives and freedoms of citizens.
Being a member of an opposition party in Tanzania is not a crime. Political competition is a constitutional right, not an act of treason. If the government believes that opposition is unacceptable, then it should openly seek to change the system and establish a one-party state through lawful means. Until then, every citizen and every institution must respect and uphold the Constitution — the same Constitution that millions of Tanzanians are demanding to be reformed.
The @SuluhuSamia administration must understand that accountability cannot be avoided by using terrorism charges to silence political opponents. The events of October 29, 2025, and the suffering of those affected demand a transparent and independent process of justice.
Justice delayed is justice denied. We remain committed to doing everything necessary within the law to defend democracy, protect citizens’ rights, and ensure that Tanzania is governed by the rule of law where every person is equal before the law.
We will meet in court.
Hii ni hatari inayoendeleza uonevu na unyanyasi kwa vijana wanachama wetu takribani 22 kupewa kesi ya ugaidi. Nchi yenye majeraha haiwezi kuponywa kwa njia ya uonevu na vitisho. Hiki sio kiburi tu pekee, bali ni uonevu ukaokatisha tamaa ya kuishi ambayo ni iahara mbaya sana kwa ustawi na utulivu wa Nchi. Naogopa sana watu wanavyoendelea kukinai hofu.
This little girl had no idea that she would travel to America 🇺🇸 and marry the most selfless man ever and be blessed with 4 amazing sons. Love is so beautiful 😍
Leo ilikuwa siku yenye hisia nyingi kwangu. Ilikuwa jambo la faraja na heshima kukutana na rafiki yangu na Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Tundu Lissu, katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam, wakati shauri lake lilipokuwa likisikilizwa. Kumwona anaendelea kusimama imara licha ya changamoto zinazomkabili kunanikumbusha kuwa uongozi wa kweli hupimwa zaidi nyakati za majaribu. Nilifurahi kupata nafasi ya kumkumbatia na kuonyesha mshikamano wangu naye. Mwenyezi Mungu aendelee kutanguliza ukweli, haki na utawala wa sheria nchini mwetu.
Mwaka. Wakili ni afisa wa mahakama kama walivyo majaji na mahakimu. Bila wakili wa kujitegemea gurudumu la haki haliwezi kwenda
Hakuna sheria inayokataza wakili kuongea kwenye viunga vya mahakama
What is not prohibited is allowed
@TanganyikaLaw@Mwabuk2Boniface@Advocate_Jebra
Mahakama haiwezi kuwa huru kama vyombo vya usalama vya executive vinatumika kuminya haki za mawakili kuongea kuhusu kesi za maslahi ya umma. Kesi ya kikatiba ni kesi ya umma. Mahakama ni za wananchi sio za executive.
Wakili ni mualikwa wa mahakama na mualiko huo anaulipia kila
International Youth Day 12/08/2026
Bavicha Watakuwepo Dodoma💪🏽👊🏽✌🏽
Vijana! Nguvu Ya Mabadiliko!
@bavicha_taifa @deogratiusmahinyila @revlinembugi @dualyamzito @felius_festo