Weka simu pembeni ukiwa unaongea na mtu. Au sema samahani kama kuna UMUHIMU wa kugusa simu yako wakati mko kwenye mazungumzo. Hizi ni baadhi ya HESHIMA za ENZI HIZI.
Ukiachana na current trends bongo, usije kuingia mtego wa kuwa mtu asiye muadilifu,asiye na ethics,au asiye professional.
Ukiachana na wachache ambayo wanajaribu kutuonyesha the new stupid norms ndio daraja la mafanikio, baki kwenye msingi, mengi yanapita ila Values zitaishi.
We are proud to announce the launch of our first comic short ‘Nana and Saka’.
The story follows Nana as she is working on something BIG in her lab and she gets an unexpected visitor. Follow as the adventure begins
Click the link to read: https://t.co/Tk0hLdJx2D
Darasa la leo la Tafsiri ya Quran somo kubwa lilikuwa ni Taswira ya Aya na Sura katika Quran.
1. Makkiyah
Ni Sura au Aya ambazo zilizoteremshwa juu ya Mtumeﷺ KABLA ya kuhama Makkah.
2. Madaniyah
Ni Sura au Aya ambazo zilizoteremshwa juu ya Mtumeﷺ BAADA ya kuhamia Madina.
Stage ya kwanza ilikuwa TEMEKE ambapo tulifanya simple idea ya kutumia banner kidogo na makuti. Lengo ni kuweza kupata taste and feel ya nyumba zetu za asili kwa kuwa Mchiriku ni mziki wa asili
The Little Feet That Never Felt the Earth
By @Kudu_ze_Kudu
It was an emotional moment, the words of Maya Angelou rang true as I held hands with a young couple in prayers, “There is no greater agony than bearing an untold story inside you.” I could see the tears in both of their eyes as the husband recited a prayer while I and his wife responded with “Amiin”.
I had met them while I was on my way out and well, I was late already so I decided why not see one last client before going to fight for Daladala?
I went through their referral letter and took the young woman’s history carefully. After extensive physical examination and collecting samples, I wheeled her to the radiology department for further tests.
The radiographer looked at me and we both knew it. I think this was one of the hardest news I have ever had to deliver, both twins were dead. I could hear her voice break as she tried to ask me if there was anything that could be done to save them. There was nothing any of us could do.
It was her second pregnancy, and her second miscarriage. She tried to hold herself together but the moment her husband appeared she broke down in tears. I have seen my share of the pain and grief that come with pregnancy loss and it’s something that sticks with you.
https://t.co/vKnJOnyETz
Not everyone that’s not clapping for you anakuonea wivu, wengine just don’t give a shit about you na maisha yako iwe kwa mema au kwa mabaya. Hata ungefikwa na baya wasingeshadadia either. Hawajali lolote linalokuhusu.