@JMariotz@MswatiKing_01 Hii Game nilienda iangalia yote ,ikaisha nikarudi home nikajiandaa na Pepa, niliamska siku ya pili Nina usingizi mnoo ila nilitoboa, Kama necta haikuweza sijui kama Kuna ambae atanitenganisha na boli
@ThomzJoseph Ila am sure Kamwe hawezi rudia, Kamwe alikosea sana, alimuattack meena na kumtusi Mgeni husika.
Sijui Kamwe ana tatizo Gani la kuamini yeye ndio yupo sahihi, hataki Simba isemwe kwa mazuri popote, lilikuwa ni jambo baya, alipost hadi picha za Mgeni akisema n mvunja Kuni.
@RobinsonShoo4@Sirajitz1 Kabisa, Yan baadhi ya wachambuzi sijui waga Wana akili timamu, tumeshajufunza tulipoteza chama, Timu imetupa presha had basi, amerudi Timu imesimama wanaanza kuleta mambo ya ajabu
@baraka_asege Ni kama umesimuliwa Hawa mahojiano, Magunga kauliza swali la muhimu sana na la maana, na Kamwe ndio kashindwa kujibu swali, kaishia kuruka ruka, ila swali la msingi halikupata jibu kutoka kwa Kamwe.
@PolycarpMDM Kutoka Kariakoo hadi mbezi magufuri ni kilometa 21, so kwenda na kurudi ni kilometa 42 hivi, so ni kama alikuwa anatoka Kariakoo hadi mbezi magufuri na kurudi Kariakoo, then anatoka Kariakoo anaenda hadi mbezi magufuri tena na kurudi hadi magomeni, aaah nimechoka ๐คฃ
@INFLUENCERjr@prossoff Azam sio Timu kubwa, waza kwa mfano Barcelona, Madrid au Man United wamekuja wanataka kutumia uwanja wa Simba, na Simba ana game, lazima Simba watahama cz mkubwa n mkubwa, kwenye wakubwa usimuweke Azam
@RevocatusMagum1 Magunga ndio alivyo, kwanza kila Timu kwake ina MATATIZO ๐คฃ, ila Ayo alimwambia hata yeye akipewa mamlaka ataitreat hii Game tofauti na Game nyingine, Geoffrey Lea kampa mifano mingi sana ila kijana akasema ana mawazo tofauti.๐คฃ๐คฃ
@Bukayoshafi77 Winga mtata sana, Bellamy kipindi icho anapeleka moto sana upade wa kushoto, upande wa kulia kulikuwa na mwamba alifungwa kwa kesi ya ubakaji anaitwa Adam Johnson pure talent iyo, hapo kati Kuna mwamba anaitwa Steven Ireland mido kisheti mwenye upara wake.
@INFLUENCERjr Kigwa kumbe kitambo tu alitaka kukidanganya kiti, na alienda Jpili hadi nyumbani kwa kiti na maneno akaambiwa aweke kwenye maandishi๐คฃ, kiti kikafatilia hadi TBC Kingwa akaonekana taarifa yake ni ya uongo.x๐คฃ
Nilichopenda kiti alikuwa kanyooka sana black ni black.
@RevocatusMagum1 Ila ipo siku mchome atakutana na watu wa ajabu, ambao wanamtamani sana watamnyoosha sana. Cz anachofanya Wala hakikubaliki ni vile TU kimepata go ahead ya nyuma mwiko