"Tofauti na mauaji katika nchi nyinginezo, mauaji wakati na baada ya Ubakaji Mkubwa wa Demokrasia wa Oktoba 29, 2025 ni kuwa yalipangwa, kufadhiliwa na kutekelezwa na Serikali iliyojiweka madarakani ya Samia Suluhu Hassan." Dr. Rugemeleza Nshala.
@SuluhuSamia Hongera Sana Kwa Kuwa Rais muuaji wa wananchi unaowaongoza, Makuhakikishia Kuwa Damu Hizi zinakulilia Na Mungu Atakujibu Kama Ndio Sadaka yako Basi Mungu Amepokea na Malipo Yake autayapata Tu Subiria Gharika Linakuja Utajuta Mno Kutoa Sadaka Hii Mbaya ya uhai wa Watu
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.