@MwansasuSr @issa_255 Kaka acha basi kuwakomoa wananchi kipindi hiki nafaka zote zipo kwa wafanya biaahara sio kwa mkulima huyo mkulima mwenyewe anahangaika na chakula masika hii alikiuza kiangazi kwa wafanya biaahara
@YusuphMbilinyi8@tonyalfredk Haswa utatafutaje mke mtandaoni kila siku watu wanalalamika kuhusu wake wa mitandaoni hamkomi tuu loo watanzania wagumu kuelewa kweli