@bohny_chengula Apple wametengeneza mentality kwa watu wao kufeel exclusive na proudness(as in they think they have value) wakiwa wanatumia iphone, natumia iphone pia😂
@Sharb84@YerickoNyerereT Bro,Iran kafata ethics za vita,coz kuna Air traffic daily sasa imagine watu wapo safarin wanapishana na drones za Iran ni maafa kiasi gani yangetokea?