@EsirEid Haya makadirio yote ya kufikisha mafuta kwa mwananchi yanatiwa yaendane na mipango ya sufficient reserve inayohitajika la si hivyo hakuna maana ya kua na reserve.
Jamii yetu bado inakinzana na excellency ,hatupendi excellency na tunaibeza .Lengo la elimu limekua diminished kwenye kupata kipato na haitizimwi mchango wake kwa ujumla kwenye maendeleo ya taifa .
Vitu kama R&D kwa jamii ya namna hii bado vitaonekana ni kupoteeza pesa.