Your ankle deserves a little spotlight too! 😍
Custom name ankle bracelets are here to steal hearts. Get yours personalized with any name you love!
📍 Mwenge, mpakan.
📞 +255 612463635.
📲 Follow us: @tamaduni_touch.
Cc. @Hunaiya153989 Jana tulijua kupiga umbea😆 karibu tena.
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉Jezi Jumla na Rejareja
👉Size S,M,L,XL & XXL
https://t.co/ngKKMdAx6O
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma nchi nzima
Atakayekusahau kwa kisingizio cha “niko busy na mambo mengi,”
na wewe mfute kwenye kumbukumbu zako kwa kisingizio cha “nimepoteza kumbukumbu.”
Usijipe umuhimu kupita kiasi kwenye maisha ya watu wasiokuthamini. Mtu anayekujali atapata muda, hata katikati ya pilika zake
Miaka 2 iliyopita nilitoka jela. Mwaka jana nikanusurika jaribio la kuuawa na kuporwa pesa kadhaa.
Kitu pekee naweza kuwaambia ndugu zangu maisha yamenifundisha kuwa unaweza kupoteza kila kitu, lakini ukibaki na pumzi bado una nafasi ya kuanza upya.
Happy Birthday to me 🎊
1+
Toyota hilux
Year of manufacture 2023
Low mileage
4X4
Automatic
2.8L
1GD6
Leather seats
Power Seat
Sport rims og
New tires
Price 140,000,000/=
Plus Registration
Clean condition
Call 0656522799
Kindly repost it🙏
Wateja, simu ikiingia maji usiiwashe. Kuendelea kuiwasha kunaweza kuongeza uharibifu. Na nani aliwaambia mchele unaondoa maji kwenye simu? 😂 Mlete fundi mapema kwa ukaguzi na usafishaji wa kitaalamu. 📱🔧
Mwisho unaweza kuongeza huduma zako:
📞 0789456054 | 📍 Ubungo External
Wakuu kuna dogo kaja iphone X yake kaniomba nimsaidie kufungua iCloud ila inagoma kucreat iCloud yani uki create kupitia setting wanasema account haiwezi kutengenezwa kwa muda huu ukitumia tovuti ya Apple (https://t.co/UNXn2r6V21)inakuja kukwama kwenye kipengele cha kutuma verification code kwenye namba ya simu yani inasema verification code haiwezi kutumwa kwenye namba hiyo kwa sasa na nimejalibu kubadili namba nyingine lakini bado inagoma.
Je shida ni nini hapo?🤷🏿♂️
@ramamobilehub