@sthandwasamiii Kuyatoboa hapana mpenzi ila unamuaibisha mumeo vooo, eti kaka mzuri jamani tena inakuuma ana mke mzuri na mtoto haa shooogaaake ndo nakwambia akipendeza wako inatosha usijipe kazi na umuhimu maisha ya watu
Hamna kiumbe kizuri kama mwanaume, mwanaume yupo straight foward, hata awe mbabe vipi kama anakupenda utajua, na kama hakupendi pia utajua.. mengine yote ni sisi wanawake tunaamua kuyafumbia macho(denial) na ndio maana yanatokea. Unless otherwise,men are 😍🥰