@Thommunkondya Kitu ambacho nimeani baada ya kufika kwenye mashirika ya serikal nikuwa tunao yaangusha n vijana wengi. Inafikilisha unakuta vijana chini ya 45yrs kwenye ofis za serikal wanajisifu kwa anasa lkn kwenye kazi n zero. Kuna muda tunaweza ipa gvt ubaya lkn vijana wanatuangusha sana.
KUTENGANA
Mchana Vs Usiku
Mme Vs Mke
Mtoto Vs Kijana Vs Mzee
Masikini Vs Tajiri
Audi Vs Rafiki
Kifo Vs Uhai
Katika maisha yetu yote lazima haya mambo uyaguse,
Hatima yetu ndiyo hufanya tusifike ktk baadhi ya mambo.
@wachokonozi
@YusuphMbilinyi8 Kuna muda mtoto akiwa na tabia za kipuuzi mrudishe kwa wazazi wake, maana ingekuwa kaajiliwa wizara/kampuni angefukuzwa kulinda hadhi ya wizara/kampuni. Hivyo wapo sahihi
@BlacDaady Tough game zote lazima jamaa aanze kiufupi kwenye game ambazo zinakuwa na ishara ya dangerous attack nyingi lazima awe first choice kwa kipara, ana uwezo mkubwa sana wa kunusa hatari
Special derby tomorrow, Africa best derby. Place to be Mkapa stadium ποΈ. Best of luck to my darling club simba πͺβοΈπ. The lion never get tired π¦ . Nguvu moja πͺ @SimbaSCTanzania
Habar! nitafutie Kijana Muaminifu Awe Tandiboi Kwenye Lori Kusambaza Juice Embe,maji,.. Mikoani.Mshahara Tsh.450,000/=na Posho Atalipwa Na Ofisi Zetu AZAM.
@azamtvtz , @AzamPesa mnaijua πππ watu wanapigwa au imekaaje
Allow us to re-introduce ourselves
We Are:
1. Big Stars
2. Tanzania's Premier League Club
3. The Pride of Singida
4. Sunflower Farmers
5. KilemaNkundi (Resilient)
Above all; we are in the TOP 4 list along with @SimbaSCTanzania@YoungAfricansSC and @azamfc
Follow us!