Ukienda kwa therapist au trainer yoyote ukamuuliza njia sahihi ya kuboost confidence yako, atakwambia:
1. Nenda gym.
2. Vaa vizuri.
3. Jifunze kuongea vizuri na watu.
Nimejaribu yote hayo lakini bado sikupata matokeo niliyotarajia.
Mpaka nilipoanza kufanya haya mambo 8:
๐งต
Kwenye maisha kosa hisia zote ila angalau usiishiwe na uwezo wa kuona aibu. Kale ka sauti cha โhivi watanionajeโ kanasaidia sana kutunza ubinadamu wako.
Wangapi siku tatu hizi wanahisi kuwa overwhelmed? Kufeel kulia bila sababu? Huzuni ama wasiwasi bila sababu za msingi. Kuamka usiku mnene gafla mara kwa mara?
Unaenda kuchukua sampuli ya damu ya mtu anayedaiwa kuchukuliwa kinguvu na nyie huku mkimpiga na kumjeruhi
Hii sampuli mnaenda kuilinganisha na ya nani mliye naye?
Ina maana mmemumiza kiasi kwamba hatambuliki hadi kuoanisha na DNA ya damu yake kwa utambuzi wa forensic?
Mpaka pale serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania itakapofanya yafuatayo.
1. Kukubali kutekeleza mageuzi ya mfumo wa kisheria na UCHAGUZI.
2. Kuhakikisha usalama wa RAIA wote wakiwemo viongozi wa dini wanaosema ukweli kwa AMANI.
WAUMINI WOTE WA KATOLIKI NCHINI TANZANIA WANAELEKEZWA KUJIEPUSHA NA SHUGHULI ZOZOTE ZINAZOHUSIANA NA UCHAGUZI MKUU UJAO HASA:
1. Waumini wa KANISA KATOLIKI USIJITOKEZE KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA AU KUKUBALI KUTEULIWA NAFASI YA UDIWANI, UBUNGE, URAISI kupitia chama CHOCHOTE.
2. WAKATOLIKI KUTOSHIRIKI KATIKA ZOEZI LA KUHUSISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA.
3.WAKATOLIKI KUTOSHIRIKI WALA KUHUDHURIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA KISIASA.
4. WAKATOLIKI KUJIZUIA KUSHIRIKI KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI MWAKA 2025.
KANISA LIMEMALIZA HIVYO. ๐
Kiufupi sana haya yote yanamaanisha #NoReformsNoElection
Muda wa kuongeza SADAKA kwenye kanisa KATOLIKI NDIO HUU.
Hili ndio KANISA LA KUSALI.
NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA KANISA LA KWELI SASA NIMEPATA.
MUDA WA KUHAMIA KATOLIKI NI HUU.๐๐ฟ
#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
KAMA ULIDHANI KUMPA MIMBA MWANAMKE NI KITU RAHISI, SIO HIVYO...!!! ------------------------------------------------
Tendo moja lina 15% hadi 25% za kupata mtoto...!!
Kumpa mwanamke mimba si kitu rahisi kama watu wanavyodhani..!!!!! Watu hudhani kuwa ukifanya tu tendo la ndoa bila kinga, mimba ni lazima. Ukweli ni tofauti kabisa. kutokana na tafiti huchukua kati ya miezi 6 hadi mwaka kupata mimba. Kwanini? Hebu tuchambue...
picha na video Thread๐งต
Una miaka 18-30, nakusihi tenga japo dakika 10 kusoma huu uzi. Ukifika mwisho utanishukuru.
SAFARI YA MAISHA: Kupata, kusota, changamoto, kupambana, kukosa, kutusua. LIFE
Anguka nayo๐๐งต