@thisistemidayo Dharau Maana Yake Ni Kwamba Tumepeana Ahadi Mimi Na Wewe tukutane Sehemu Mimi Nimefika Ile Sehemu Nimekaa Mpaka Nimechoka Wewe Ukutokea Iyo Ni Dharau #MwajumaKassim
@earadiofm@polytank@VodacomTanzania @SerengetiLITETz @Haloteltz@kitm Au Mama Aisha Kutoka Mbagala Maji Matitu Muda Wa Kukaa Kwenye Uchumba Miezi Mitatu Baada Ya Hapo Ni Ndoa Ikizidi Zaidi Ya Hapo Huo Siyo Uchumba