Ukiwa mwenye huruma na akili timamu utapoteza ndugu na marafiki wengi na kutengeneza maadui wengi kwa sababu tu unafanya kitu sahihi na haki🤦🏾♂️lakini ukiwa mshenzi na hujitambui wengi watakuwa upande wako kwani watakuwa wakifurahia anguko lako taahila😅
#AkiliMkichwa📌
🚨 Khalid Aucho.. Djuma Shabani na Saido Ntibazonkiza hawajasafiri na kikosi cha Yanga kwenda Mwanza, sababu ikitajwa ni Majeraha
🚑 Winga Chico Ushindi nae amepatwa na majeraha akiwa mazoezini hali iliyomfanya apelekwe Hospitali kwa vipimo zaidi
#GeitaGold Vs Yanga
Niliwahi kuandika hapa siku moja kwamba CLATOUS CHAMA ndiye "Nyerere" wa soka la Bongo kwa wachezaji,nikapokea Kejeli kibao. Ona sasa, kaja January ana bao 5, assist 4 na hat-trick 1. Kuna players wako tangu Julai hawana namba hizo, huenda wakamaliza ligi wasizipate FA CUP & NBC