@kaisali02 @babalao__ Explanation kama hizi ndo zinahitajika tubishane Kwa hoja sio unakuja tu eti ooh mbona nyie kipindi kile mlifanya blah blah blah!
Hapa nimekusoma ila mpinzani wenu Stellenbosch alikipiga dhidi ya amazulu kwenye ligi baada ya kumalizana na zamalek ishu ni ratiba tuh!
@otyboi_hija @mudryk_jr Kumbe unamjua! Sema wanaume weupe kumamake sijuh hii trending watawezaje kujitetea maana dah Kila siku matopeni sasa huyo dogo mtandaoni huwez kumjua kumbe nje anafanya usenge hvy