@RamarJemedal@mangekimambi@MariaSTsehai kweli kbs mzeee hizi nguvu za kuifuatilia irani inafanya nini tungeitumia kuuliza maswali kwenye tume nani alitoa oda watu kuuwawa sasa mra wtu wainje walikuja kuandaman
@VungaEl74@mangekimambi kwenu tu yalitushida kupambania kuiondoa ccm sasahv mpo na iran watu walikufa octb mlikaa kmy yenu tu yanawashinda ila kweka bado na kufuatilia iran mnaweza sana
@RashdaZunde katka kizazi cha hovyo ni hili wakati watu wanatekwa hawakuwa wanaongea walikaa kmy mpka lilipowafika na wakaambiwa hakuna kutoka inje ndio wanaona mazara yake half sio kila kikundi ni kuita wanahabari na kuongelea hili suala mnataka kusema kwamba serikali haioni au
@Baradhuli2@MtuAnonymous hapo kidogo tutapishana mawazo sio wanaharakati waliishauri serikali iwasikilize wanaichi nini wanakisema hapo ndio mambo yalipo anzia
@Vascoda45821757@kichefuchefuu mkumbushe kwenye hutuba yake amesema sasahv wamejitia doa kwhy mikopo sasa hawatapata km zamani na pia mkumbshe amesema rasilimali zetu ni dogo tulizopewa na mungu hazitoshi