@kasesco_tz Hata DLDM yupo nchi nzima huwa najiuliza huyu ni nani?? Mwamba sana ...Kuna mwingine anaitwa "special hire" ana gari kama zote kila mkoa amechafua kinoma
Michelle and I can’t wait for you to visit the Obama Presidential Center!
Starting on June 19, the Center will be open to the public, and you’ll be able to check out the Museum along with public spaces like a new branch of the Chicago Public Library with a reading room, a two-acre playground, a fruit and vegetable garden, and more.
Tickets available at https://t.co/ahkDMKalIn.
Ndugu zangu tutafute hela umaskini ni mbaya sana, Umaskini unakera, Umaskini unaaibisha, Umaskini unaleta dharau, Umaskini unaua•
Kila uamkapo mawazo na Akili zako vinapaswa kuwa na mipango thabiti ya kuutokomeza na Kuuondoa umaskini•
Huyo demu simjui kabisa, hata kukutana nae sijawahi namuona tu online. Hizi ni stori za watu wanaotaka kutrend kwa jina langu, hakuna chochote hapo, wenye D mbili ndio watamuelewa chibu dangote😁
Dr. Jesca Mhoja Nkwabi, mwanamke tajiri Tanzania, CEO wa KOM Group of Companies. Ameajiri Wafanyakazi 40,000 na anahesabiwa kuwa kiongozi mwenye ushawishi Afrika. Tuzo za uongozi, ikiwemo "Young African Business Leader 2025".
Je, Mondi ameajiri wangapi?
Stephen Hawking alizaliwa tarehe ya kifo cha Galileo (January 8), na akafariki tarehe ya kuzaliwa kwa Albert Einstein (March 14). Akili tatu kubwa zilizounganishwa na tarehe.
Baada ya kifo cha Steve Jobs, Tim Cook aliongoza Apple Inc. na kuifanya kuwa kampuni yenye mafanikio makubwa! Hisa moja iliongezeka kutoka Tsh.36,550/= hadi Ths 774,386/= na mtaji wa soko ulifikia $4.1 trillion.
Zaidi ya GDP ya Afrika na sawa na GDP ya India mwaka 2026.