Kwenu Gen Z,
Oyaa! Mzigo umepanda. Target imehama, sasa tunaelekea Bilioni 5.
Msiache hii iwe kazi ya watu wachache. Kizazi chenu kimeonyesha mara nyingi kuwa kikiamua, hakuna kisichowezekana.
Mmebadilisha mijadala, mmeamsha matumaini, mmefanya sauti ya mabadiliko isikike kila kona ya nchi. Sasa ni wakati wa kuipa sauti hiyo nguvu ya mchango.
Tusibaki kwenye likes, reposts na hashtags pekee. Tuweke pia alama zetu kwenye Tone Tone.
Usichangie kwa sababu umeombwa. Changia kwa sababu unaamini. Hata elfu mbili yako ni sehemu ya Bilioni 5 tunayoiandika pamoja. Hakuna mchango mdogo unapokuwa wa watu wengi wenye imani moja.
Tonesheni Tone Tone. Tufanye historia pamoja, ili kesho tukisimulia ushindi huu, kila mmoja aweze kusema, “Nilikuwepo.”
CHADEMA MPESA- 0744446969
Wenu katika Struggle,
G. J. L
Nikiona Comments kama hizi nafurahi sana maana nilitaka nione MAUMIVU KAMA HAYA.
Mwaka wa pili sasa hawajui
1: Naishije.
2. Nakula nini.
3. Napata wapi PESA ZA KUJIKIMU.
Wao wananiona tuu kila siku mitandaoni nachana ndevu safi, kula jezi Kali za bei mbaya, nabadilisha simu latest kila wakati, sijawahi kulilia NJAA, afya inanawili kama kawa MNYAKYUSA.
Niliwahi kusema HAWA WAPUMBAVU (WAKOLONI WEUSI), wakitaka kukupelekesha wanavyojua wao watahakikisha wanazuia ulaji wako.
Mimi kuzuia ulaji wangu hakikisheni “Argentina na messi hawafanyi maajabu , Arsenal anafungwa kila siku, Man u anakandwa kila siku”. Yani kiufupi muwe mnazihonga team ninazobetia zisitoe ninavyotaka—hapo mtazuia ugali wangu.
Kinyume na hapo mimi naendelea kunawili mbele ya macho yenu na kuishi vizuri maisha ambayo hakuna TAKATAKA yeyeto (POLICE) atakuja kuishi mpaka anazikwa na ukoo wake wote.
Huu ni mwaka wa PILI nawaahidi MUNGU AKINIPA AFYA NJEMA NA MIAKA MINGI CHINI YA JUA mtaona mengi sana mbona BADO.
Mimi sijaanza kuichangia CHADEMA LEO na sitaaishia hii kampeni ikiisha—kikubwa wananisaidia KUPAMBANA NA WAKOLONI WEUSI KULETA HAKI NDANI YA TAIFA-NITAENDELEA KUWEKA HELA NAAMINI SIKU MOJA MKEKA WANGU UTATIKI TUUU NA UKITIKI WAKOLONI WEUSI WOTE MPO JELA MAMAE ZENU.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@nonchalanceyy Sasa unawahi kurudii hela unatafuta saangap. Huyu nae toka lini kaanza kuwasemea wanawake. Hivi anadhan kua mwanaume ni rahisi. Yeye kaleft ndo maana anawatetea nduguze. Pumbaf
@Mulastar255 Kuna Dogo alikufa hiv hiv alikua akila self na simu yake ya mkopo. Alipigwa moja tuu ya tumbo. Walikuta kachanganyika na udongo. Tembo sio wa mchezo. Hicho ni kifo
Kwasasa mjadala ni watu kuichangia CHADEMA BRO (TUPO NJE YA MUDA).
Mimi nimeapa mbele ya watanzania kuwa lazima tufikie LENGO la kupata MILIONI 340.
Nilifungulia kampeni hii kwa kuchangia 1M na sasa tuna 50M ndani ya masaa 96.
Tukifikisha 100M—nitachangia tena 2M kuanzisha safari ya kuisaka 200M.
Tukifikisha 200M—Nitachangia tena 3M kuanzisha safari ya kuisaka 340M.
Bro inawezekana hii—kama ulichangia jana fanya tena jua hatujamaliza. Kila mtu aweke nadhiri yake kwenye kukamilisha hili tunaweza wanangu.
REPOST 200.
Tuma mchango wako sasa.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kuna mizee ni MATAKATAKA sana—yanakomaa Heche achunguzwe. Yani hamjifunzi tuu kuwa watu hatutaki hizo story zenu?
HECHE huyu ambae anatuhumiwa kwa kashfa nzito, baada ya kuja kujielezea kaja na kampeni ya kukichangia chama MILIONI 334 na mpaka sasa ndani ya masaa 48 kakusanya 30M hamshtuki kwamba watu hawasikii hawaambiliki juu ya HECHE?
Sisi tumesema hata kama KALA tulitaka Ale hela zetu na tunachanga zingine tena ALE.
Anaeendesha hii project kichwa chake ni ROUND ABOUT YA MATE (SPECIAL KUMANYOKO KWAKE).