@godbless_lema Huyu jamaa ni kichwa aisee hii caption sioni kama kuna kiongozi wa CCM mwenye fikra yakinifu na yenye busara kama hii hakuna tusi hakuna uchafu wowote neno tupu linachoma adi mfupa.
@mangekimambi Aisee nimepita kwenye page ya meta case za kufungia acc. Ni nyingi sana mange tafuta mbadala au anzisha platform yako sajili kabisa watanzania tupo nyuma yako, hii kesi yako sio leo au kesho mark my words. Platform yako ikiwa bunned tz tutatumia vpn tushazoea ni ushauri
@mangekimambi Wew umetumiwa dawa ya kukunyamazisha kweli nimeamini mpaka saiv hujatutengenezea video ya hamasa kweli umepatwa na nin... ? Nachoka baba yenu
@Mwabuk2Boniface Imagine hii ni mochwari moja? Dar es salaam, mikoa mingine je? Iliyoandamana, zipo video hatukuona, wapo watu wamekufa hatukuona Hivi kweli hii ni Tz au somalia?