Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1985
Spika wa Bunge: Chifu Adam Sapi Mkwawa
Waziri Mkuu: Dkt. Salim Ahmed Salim
Waziri wa Fedha: Prof. Kighoma Ali Malima
Ukumbi: Karimjee Hall
Mada: Malalamiko kuhusu wafanyakazi wa Idara ya Kodi ya Ndani chini ya Wizara ya Fedha
Stop telling ChatGPT “Make me a graphic”
Stop telling ChatGPT “Design a flyer”
Stop telling ChatGPT “Create a poster”
That’s how you end up with generic AI design.
Use these 8 prompts instead:
@Elparton112 Icho kinachofanyika sio bahati mbaya ndio entertainment inayotengenezwa kwenye tamasha lao na msanii mwenyewe kutupa sisi watazamaji kulizungumzia muda wote...plan
ROBERT GREENE
Mwandishi mashughuli wa vitabu vyenye maarifa ya kuwapa watu mamlaka katika jamii zao
Moja ya vitabu vyenye maarifa ynayompa mtu nguvu zaidi dunian ni
-THE 48 LAWS OF POWER
-THE ART OF SEDUCTION
-THE LAWS OF HUMAN NATURE na
-MASTERY
Watu wengi wamedai nianze kuvichambua vitabu hivi kwa ufupi na kwa lugha inayoeleweka(Kiswahili)
Leo nitaanza na 48 LAWS OF POWER
👇
Kwasababu Wengi Mlikimbia HISTORY wacha Leo Niwakumbushe 😂👇🏿 Hii Ni Mifumo ya Kiuchumi Duniani
1. COMMUNISM
Una ng'ombe wawili. Serikali inachukua wote na kukupa maziwa kidogo.
2. FASCISM
Una ng'ombe wawili. Serikali inachukua wote na kukuuzia maziwa kidogo.
3. SOCIALISM
Una ng'ombe wawili. Unamkabidhi mmoja kwa jirani yako.
Ili asiwe Omba Omba
4. BUREAUCRATISM
Una ng'ombe wawili. Serikali inachukua wote, inawachinja,
5. VENTURE CAPITALISM
Una ng'ombe wawili. Unauza mmoja, kununua fahali. Kampuni yako inakua, unaiuzia hisa kwa umma huku ukibaki na haki za kudhibiti ng'ombe wote wanne.
6. TRADITIONAL CAPITALISM
Una ng'ombe wawili. Unauza mmoja na kununua fahali. Kundi lako linaongezeka, uchumi unakua, unawauza wote na kustaafu kufuga unafanya Issue zingine
7. A FRENCH CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Unagoma, unaandaa maandamano, unaziba barabara kwa sababu unataka ng'ombe watatu.
8. AN ITALIAN CORPORATION
Una ng'ombe wawili, lakini hujui walipo. Unaamua kwenda kula lunch wala huwatafuti wakipotea sawa
9. A SWISS CORPORATION
Una ng'ombe 5,000. Hakuna hata mmoja Unayemmiliki wewe unawasaidia Watu kuwamiliki. Unawatoza wamiliki wake ada ya kuwahifadhi.
10. AN AMERICAN CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Unamuuza mmoja na kumlazimisha mwingine kutoa maziwa ya ng'ombe wanne. Baadaye unaajiri mshauri kuchunguza kwa nini ng'ombe amekufa.
11. AN INDIAN CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Unawaabudu na wanakuwa Mungu wako
12. AN IRISH CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Mmoja ni farasi unamtumia Kwa starehe
13. AN AUSTRALIAN CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Biashara inaonekana nzuri. Unafunga ofisi na kwenda kunywa bia kusherehekea.
14. AN IRAQI CORPORATION
Kila mtu anadhani una ng'ombe wengi. Wanakwambia una ng'ombe wanne. Hujui ni wangapi kweli waliobaki kwa sababu hakuna anayeruhusiwa kuwahesabu. Lakini unajua fulani anachukua maziwa yote.
15. A BRITISH CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Wote wawili ni wazimu.
16. A GREEK CORPORATION
Una ng'ombe wawili uliowakopa kutoka benki za Kifaransa na Kijerumani. Unawauza wote kulipa deni la taifa, kisha unawakodisha ili kupata maziwa. Akaunti zinaonyesha una ng'ombe watatu, lakini kodi inatozwa kwa ng'ombe wanne. Unamuuza mmoja Ugiriki na wewe unaenda kunyoa nywele kwa faida.
17. A CHINESE CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Una wafanyakazi 300 wanaowakamua. Unadai una ajira kamili yenye ng'ombe wengi, unaandika takwimu bandia, na yeyote anayeuliza maswali kuhusu hilo... anapotea.
Mzee wa What a Pleya aliona mbali tangu siku 6 zilizopita akatoa ya moyoni baada ya msemaji wa Jangwani kusema kuna timu inafanya mazoezi na mchezaji wao.
Tuendelee kusapoti kazi za wasanii wetu ambao wameamua kujitolea kupitia sanaa zao kufikisha ujumbe. Ni furaha kubwa kuwa na wawakilisha wapenda haki ambao wanasapoti harakati kwa kupitia talanta zao ambao Mungu amewajalia.Naomba tuwafolo watatuambia ni wapi tunaweza pata