@p3ng018 1. Std 6: mtu alikuja class kuuliza Nani huwaga wa kwanza ? Akatajwa β¦ mwl kurudi akachapa class nzima huku akisema tulitakiwa kusema wote ni no 1.
2. Std 7: girl aliweka dot ukutani na marker tukiwa break ,tulichapwa. Round 9 ndo akajitaja.
@officielsalome Mwanzo 14 : 18-20
Mambo ya walawi 27: 30-34
Hesabu 18:26
Kumbukumbu la Torati 12: 5-6
\\. 14:22
\\ 14: 28-29
2 Mambo ya Nyakati 31: 4-5
Nehemiah 10: 35-35
In summary
1. Fungu la Kumi ni agizo la Mungu
2. Hutolewa madhabauni/ kwa kuhani
3. Yatima etc , after 3y
@IAMartin_ π€ NHIF wanatakiwa wafuate miongozo ya wizara eg: NEMLIT ya 2021. Na kwenye hiyo NEMLIT kuna dawa zilizo ondolewa. Je ni Sawa NHIF kulaumiwa ikiwa wao wanafuata taratibu?
Note: kuna dawa na combination zake zipo kwenye STG but kwenye NEMLIT hazipo
@IAMartin_@nhiftz@ummymwalimu Swali: kwa hizi arguments za dawa ambazo @nhiftz wametengeneza package kulingana na NEMLIT ya 2021 inavyosema , je waipuuze NEMLIT na waendele kama zamani au ?