Happy new year Mr Chairman.. tunakupenda.
Umelipa na unaendelea kulipa gharama kubwa, lakini maumivu yako yataleta, Uhuru, haki na maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote..
2026, utakua mwaka wa ushindi mkubwa kwa Watanzania.
Leo nimemtembelea Mkti Tundu Lissu Magereza. Wkt wa mazungumzo, alinieleza kuwa amefahamishwa kuwa kuanzia sasa hataruhusiwa kutembelewa na mtu yeyote isipokuwa ndugu zake wa damu. Huku mazungumzo yetu yakiendelea, askari mmoja aliingia ghafla na kwa ukali akanielekeza nitoke nje mara moja. Lema toka nje alisema , toja nje , toka nje. Nilitii bila maandamano. Nilipotoka Nje, nilimkuta yule askari, nakumwambia , pole sana, nakupenda. Najua unichukii na sina shida nawe. Tatizo ni mfumo mbaya unaotutesa sisi sote. Kuna siku tutavuka. Nakutakia siku njema.
Tafadhali Gen Z pokeeni taarifa hii , pia waambieni na ndugu na wazazi wenu.
@JonMrema Hivi mrema mlitumia akili yoyote Kufikiria kuhamia CHAUMMA? SI BORA MNGEHAMIA CCM KABISA IKAJULIKANA TU.
ππππAkili zenu ni dogo sana kama za Panzi
@JonMrema Ila Mrema kweli mnafikiri watanzania ni wajinga na hawana utambuzi wa mambo??
Kuna muda wala hakuhitaji kuwa na degree kujua ukweli wa jambo .