@Samia_App Unazima moto kwa jirani ikiwa kwako panaungua? @Roma_Mkatoliki uishi miaka mingi brother ili uendelee kupinga uozo huu kwa ajili yetu wananchi.
@fumbokhanJr Kwahiyo kosa la Chasambi ni kusema ukweli sio. Tuache ushamba hata ulaya Mbappe role model wake ni Cr7, Yamal ni Messi na hawapo team moja. Tusimuandame sana dogo
@Baba_yuda19@fumbokhanJr Huyu aliulizwa ni mchezaji gani anatamani acheze nae timu moja, ndio maana aliwataja anaotamani kucheza nao. Chasambi kaulizwa ni mchezaji gani simba anamuona kama kioo kwake, kasema simba hakuna mchezaji yeyote kioo kwake ila mchezaji kioo kwake ni Max kutokea Yanga ๐
@maengea@fumbokhanJr Huyu aliulizwa ni mchezaji gani anatamani acheze nae timu moja, ndio maana aliwataja anaotamani kucheza nao. Chasambi kaulizwa ni mchezaji gani simba anamuona kama kioo kwake, kasema simba hakuna mchezaji yeyote kioo kwake ila mchezaji kioo kwake ni Max kutokea Yanga ๐
@Baba_yuda19@fumbokhanJr Huyu aliulizwa ni mchezaji gani anatamani acheze nae timu moja, ndio maana aliwataja anaotamani kucheza nao. Chasambi kaulizwa ni mchezaji gani simba anamuona kama kioo kwake, kasema simba hakuna mchezaji yeyote kioo kwake ila mchezaji kioo kwake ni Max kutokea Yanga ๐
Kuna ndugu wa damu, Kuna ndugu wa ukoo na Kuna ndugu mnaesaidiana katika kila nyakati (shida na raha).
Huyu mmoja anaweza kuwa ni bora zaidi kuliko hao wengine wote.
NB: Siku hizi maji ni mazito kuliko damu, Tuishi na watu vizuri.
Katika maisha yako ya utafutaji, zingatia maneno haya;
https://t.co/xTe1woQxse
2.Lipo nje ya uwezo wangu
https://t.co/ucAQlD88yP Uhakika.
Hakuna tajiri anaetoa pesa ovyo, nidhamu ya pesa ni muhimu sana. Pia binadamu hawana shukrani na hawaridhiki.