@kalage_jr Ndo mana jana nilimsikia mlevi akipita usiku nyumbani anaropoka "Bora tuuze tu hifadhi ya dhahabu tutahifadhi misaafu/Quoran kichwani...sikumuelewa kumbe anakwepa rungu la mdhibiti .
@Twaha_Mwaipaya Hivi we dada maria mnashindwa kabisaaa kufanya mawasiliano na watu wenye dhamana ya kutunukua tuzo ya Nobel mzee wetu akapewa heshma yake...??? Aaahaaa ukorofiiiiii huooooo