This is how Argentina won against England.
England never stood a chance when FIFA appointed Messi’s favorite referee to officiate the game. The match was over before it even began.
الفيديو حُذف من الفيفا الجبان ‼️
ولكن والله لو حذفوا حسابي، سأفتح غيره في نفس اليوم.
وسأعيد نشر هذا الفيديو، لأن ما يراه الناس لا تمحوه ضغطة زر بالحذف ..
ليبقى شاهدًا في ذاكرة الجماهير العربية على الظلم الذي تعرّض له منتخب مصر 🦅🇪🇬
Biashara huwa ina mambo mengi ila kupoteza 75M ni noma sana, kuna vijana wanamiliki hela hapa Bongo, mie nimechoka tuonesheni hizo nyoka na sisi bhana 😂😂
Huyu mzee aliulizwa kuhusu kuwa nguo zake amenunua shingapi.
Akasema yeye ananunua vitu vya mtumba.
Ila akivaa hata mabati anaonekana kuwa amevaa vya thamani kutokana na uzee wake.
Video kwa Comments 👇
Hukujibu texts zake wala kumtumia texts siku nzima, alikuwa muelewa tu
Hukupokea simu zake wala kumpigia siku nzima, alikuwa muelewa tu
Ila siku ukimuona na Mtu mwingine jitahidi nawe kuwa muelewa kama ambavyo yeye alikuwa muelewa kwako
Hana kosa bali nae anastahili furaha
OSAMA BIN LADEN VS MAREKANI
#PichaLinaanza Wengi tunajua kwamba MAREKANI NA OSAMA walikua maadui hadi wakamtimbia
skani wakampitisha hivi,kifupi tunajua matukio/sifa yake lakini I bet ni wachache wanaoelewa kiundani Ugomvi wao ni Nini? Ulianzaje na ilikuaje Afghanistan
Dunia Ina Mambo Mzungu🙌
🧵
Unaambiwa huyu Nelson Mandela unaye mfahamu aliyefariki mnamo mwaka 2013 sio yule aliyefungwa 1962-1990 jela kilitoka kiumbe kingine tofauti Mzungu alicheza uhuni wake pale wakamtoa msela😂🙌
🗣 Pablo Franco: “It's not coming because of a lack of organisation. It comes from a lack of competitiveness, desire, spirit - the things that you need to be competitive when you're playing an away game in these kinds of competitions.”