Tuna amini katika uwezo wakila mtoto kua na nafasi Sawa ya kulinda na kutetea maslahi ya mtoto Haswa kuzuia mimba za utotoni
#ZuiaUkatili@TIPOfficial__@UNICEFTanzania
@DosaRahma
VVU Huambikizwa kwa njia nyingi mfano NGONO ZEMBE, KUCHANGIA VITU VYENYE NCHA KALI MFANO kiwembe, sindano nk. KUSHIKA DAMU ZA MTU MWENYE VVU NAWE UKIWA NAVIDONDA
#RafikiKapimeHIV@TIPOfficial__ @DosaRahma
Ni wazi kua @wizara_afyatz ni muhimu kupitia vifungu vya PF3 kwasababu muhanga Siku zote hua anacheleweshewa huduma stahiki zote za muhimu Hadi mchakato uishe
@DosaRahma
@TIPOfficial__
Mimba za utotoni huathiri afya, elimu na haki za mtoto wa kike. Mtoto asiye na elimu atakuwa na ugumu kupata ajira na kujijengea maisha bora na familia yake. Msichana anayeshika mimba akiwa na umri wa miaka 14 au chini yake, haki zake zitakuwa zimekiukwa.
#ZuiaUkatiliKwaWatoto
Governments across the world including Tanzania have committed to end child marriage by 2030 through the Sustainable #SDGs Target 5.3 aims to “eliminate all harmful practices, such as child, early and forced marriage and female genital mutilations” by 2030
#ZuiaUkatiliKwaWototo