@MalemboLE@MalemboFarm Una taarifa mzuri Sana za Kilimo Africa generally Hongera kwa ufuatiliaji.....
Je! unashauri Nini kuhusu wakulima tulime Mazao kikanda na namna ya kuzifikia fursa za masoko ya uwakika
@Nalimasaumu Kwa jinsi unavowaza na kuwazua na kwa kadri unavyo tenda kazi za mikono yako naamini MUNGU atakubariki kwa kadri uonavyo nafsini mwako.
Keep it Up Chief.
Miongoni mwa Vitu Ambavyo Mwanaume Unatakiwa Kuvizoea na Kuona Vya Kawaida ni...
"KUKATALIWA"
Kabla hujajipata tegemea Kukataliwa sana...
Utaomba Kazi Sehemu Utakataliwa...
Utaomba Fursa ya Kufanya Kitu Utakataliwa
PS. Kukataliwa ni Ishara nzuri
Mrembo Jane Park (23) wa Scotland ambae aliwahi kushinda zaidi ya Tsh. Bilioni 2 kwenye mchezo wa bahati nasibu anatafuta Mwanaume wa kuwa nae kwenye uhusiano ambapo atamlipa Mwanaume huyo zaidi ya Tsh. Milioni 178 kwa mwaka kwa sharti la kumpenda tu.#MillardAyoUPDATES