Repeat Daily:
I will remain focused on my goals. Even if i have a moment of difficulty, I will not give up. I know success comes with consistency. I know that I will make it. Things will get better. No problem or challenge will stop me. Everything I deserve is coming my way!
@goligani waliosimama kuanzia kushoto ni Komredi Kipepe (Nahodha), Kepu, Ndondo, Huihui, Kobelo na Mzee Meko Golden Mapung’o. Hii ilikuwa ni mwaka 1993 dakika chache kabla ya kuwavaa Born Town kwenye uwanja wa Manyasini, na Bush Stars walishinda goli 2 bila zote alitupia kambani Mzee Meko
MBINGUNI 🌁
MALAIKA - Kama uliishi TABATA nenda motoni moja kwa moja haina haja kuhojiwa…
WATU WA TABATA - Tulishayajua hayo tuonyesheni mlango tuingie..😂😂😂😂😂😂😂👋🏾👋🏾👋🏾👋🏾