Ndugu zangu Mimi Nalala Ila nawakumbusha kuwa;-
Kila kitu Duniani ni cha kupita.
Maisha ni kama Pumzi; leo ipo, kesho inaweza kutoweka.
Tumia kila dakika kwa Ukamilifu, Furahia kila Wakati. Na
NJAA IKIZIDI PIGA SIMU NYUMBANI.
@Erickkinubi@Makaveli_255 Au zubimend kapiga Kaz Sana tena pale Kati lakn msim unaenda kuisha unaona daa mwamba kwel kachoka ila kuna watu wanaweza mkataaa na yey
@Erickkinubi@Makaveli_255 Kaa kijana kamepiga kazi mnoo kuna Muda anahitaji mapumziko huon kuna Muda man city kuna time alikua anafanya rotation timu yake kuna time kabsaa wachezaj bado wako na uhai kbsaa