Nilikua naongea na client mmoja kuhusu mambo ya uzazi. Aliolewa na mtoto mmoja lakini sasa hivi ana watoto wanne. Anasema kwamba, aliendelea kumbebea mimba baby Dady wa kwanza akiwa ndani ya ndoa ili “asichanganye damu”.
Nimeogopa sana.
Umeoga kwa sidechick alafu unafika kwa nyumba bibi anakuambia lazima uoge ndio upande kitanda yake siwezi oga mara mbili mimi afadhali nimuambie ukweli.