@Thommunkondya@SharonMontana20@thom huung mkono si ndio lini uliwahi kutanua mdomo wako kwenye mikutano yenu kukemea watu kutekwa na kuumizwa wapinzani wenu, au hamuoni wala kusikia. Pigeni kelele waambieni watawala ukweli sio kutafuta nafasi wakuu nchi inapotea mtadaiwa mlio na nafasi
@Thommunkondya Bro hayajakukuta mimi siko kwenye siasa zenu ila mambo yanayofanywa na serikali yenu yananigusa moja kwa moja na yanachosha fumbeni vinywa vyenu mnatuchosha. Sasa tizama nchi inamambi ya msingi ya kufanya picha ya nchimbi dubai inatuhusu nini😏
@MtataProMax Boss umelipwa kiasi gani kupambana na kanisa la Yesu mwenyewe nakuhakikishia hutaweza. Muulize kaisali,pilato na wenzake walivyo watesa hawa watu lakini nini kimetokea kwao hiyo kazi ni ngumu waambie waongeze mshahara
Bora mimi SATIVA najulikana kijana wahovyo nina matusi, sina heshima labda kwa sifa hizo nikose sifa za KUSAIDIKA.
TWAHA kijana wa CHADEMA, Chadema wanajua Katibu wao mstaafu wa BAVICHA yupo hatarini mwaka sasa wamekaa tuu.
Mna vyama washirika dunia NZIMA mnashindwa kusaidia wanachama wenu?
Ilikuwa kwa ndugu yangu SOKA MWAKA JUZI, Ikawa kwa ndugu yangu MDUDE MWAKA JANA, Sasa ndugu yangu TWAHA.
Hamshtuki????????
Sisi wengine tushakufa mnaweza kutupuuza, wafikirieni watu wenu. Leo ASSET kama TWAHA mnaipoteza kirahisi tuu.
SHAME ON YOU CHADEMA.
#FreeTwahaMwaipaya