@d_abduely@iamFallacy Sasa tukizungumzia Cashless maana yake Unalipia huduma direct bila kushikia cash
Hapo ww Unatoa kwa wakala upate cash, hiyo tena sio Cashless
@Dr_Thadeus_09 Kwa namna gan ukawa na Option ya Kuokoa Maisha ya mmoja na kuacha ya mwingine?
Nifahamishe tafadhali
Yani Daktari atakwambia "Chagua Kuokoa maisha ya mtoto au Mke"
Au unamaanisha nn