Ni wakati wa @bunge_tz kutafakari namna ya kuisaidia serikali kutafuta ufumbuzi wa kudumu tatizo la kihistoria, kiuchumi na kiusalama la wamachinga na si kumwachia Rais @SuluhuSamia au wakuu wa mikoa na wilaya pekee. Hili linapaswa kuwa AJENDA/DHARURA ya kitaifa. TUJISAHIHISHE
UHAINI, ambalo ni kosa kubwa kuliko yote ndani ya Jamhuri tena dhidi ya Kiongozi mkuu wa Chama cha Siasa nchini, DPP anashindwa kuleta MASHAHIDI MUHIMU wanaopaswa kujua kilichotokea! Hakuna CDF, IGP, DGIS & DCI. DPP ameshindwa kuleta SSH & viongozi wengine wa Kiserikali ili kuthibitisha ni namna gani WAMETISHIKA!
Badala yake, DPP analeta dereva bodaboda, wauza machungwa & wengine toka vijiweni ambao hawahusiki kabisa na masuala ya KIUSALAMA ya Nchi. Yaani, DPP ameokoteza tu vijana mitaani ili kutoa ushahidi tena kwa KIFICHO!
Lissu akaona isiwe shida, akataka awalete WAHUSIKA wenyewe, wanakamati ya Usalama ya Taifa. Mahakama ikatoa maamuzi KULINDA wanasiasa. CDF & IGP tukaambiwa wako nje ya nchi, Kingai akatii wito lakini kagoma kutoa ushahidi!
Binafsi, nina amini, Lissu alijua fika hawa watu watalala mitini, aliwaita kwa kusudi la kuweka MTEGO, wakanasa. Kama Kingai et al wangekuwa wana AKILI ZA KUTOSHA, wangetoa tu ushahidi. Kitendo cha wao 'kutupa taulo' wakidhani wanamkomoa Lissu, ni MISTAKE. Kiufupi wamesaidia UTETEZI wa mtuhumiwa KUIMARIKA zaidi.
Unaesoma ujumbe huu, jiulize tu kama hii kesi si ya KISIASA, kwanini mashahidi wote toka Serikalini WAMEGOMA kutoa ushahidi! Watu ambao tulitegemea watakuja kutueleza nini kilitokea.
Mwisho, sote kwa pamoja tuseme LISSU HANA HATIA.
“By nominating me for this year’s #SakharovPrize, the EPP Group sends a clear message in defence of democracy and the rule of law in #Tanzania.
Democracy means standing up for democratic values—not subsidizing autocracies or doing business as usual.”
—Tundu Lissu, September 16, 2026, High Court, Dar es Salaam.
@mwatika01 Maridhiano ya vyama vya siasa! Wakumbushe watawala wawajibike na kuridhiana na wananchi hayo maridhiano bandia mnayoyataka na chadema hayatawasaidia
Kwenye hili la LEMA mimi nadhani limeisha kimasta.
Lema kajua watanzania sio wajinga tena.
CDM inafahamu ukubwa wa vita yetu iliyopo mbele inatuhitaji pamoja zaidi ili WAKOLONI WEUSI waendelee kupumilia MASHINE.
Kama umefuatilia hii ishu tangu last week ni kama wakoloni weusi wameenda LIKIZO ya stress.
Sasa TUNARUDI kuwapelekea MOTO BILA KUCHOKA. Na hili ni kama funzo tumetoa kuwa hata sisi wenyewe tunapikana tukiona vitu havijakaa sawa.
Kumbuka pia soon CHAMA kinarudi mtaani kuanza mikutano yake chini ya MAKAMU, tungeendelea kupasuana hivi sijui ingekuwaje huko mtaani ila kwasasa naona tupo vizuri.
LENGO KUU NI MASISIEMU HAYATAKIWI KUPEWA MUDA WA KUPUMUA, YALIUWA , YANATEKA, YANAFUNGA MAGEREZA NDUGU ZETU HAYA LAZIMA YAWAJIBIKE.
Thank you @MbuyiseniNdlozi 🙏🏽
@SADC_News must stand firm and reject mass murderers like Samia Suluhu!
There was no election it was an electoral coup!
#SamiaMustGo
There's a huge disconnect between CDM leaders and their supporters on FAM
FAM is still revered by some current leaders, seen as a father figure and mentor of some sorts, while CDM cadres and party faithfuls see FAM as a total sellout. Massive disconnect