Kauli ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,,hawa wanaojiita wanaharakati kwao washashindwa wasione Tanzania ndo sehemu pa kuleta siasa zao za hovyo nchi yetu ni ya amani na ni imara sana haiwezi kufumbia macho ujinga huo.#Sisinitanzania#Nchiyangukwanza
@MjombaMjomba99@godbless_lema Uko sahihi kwa sababu wasipodhibiti ikatokea fujo wa kulaumiwa ni police hao hao ambao lema juzi alikua anashangilia kifo cha Rpc ko anapozuiwa aelewe wapo kazini kulinda raia na mali zao
@godbless_lema Juzi ulitukana sana police na ukashangilia live kifo cha RPC_Tabora,ukasoma hadi Comments kwa furaha kabisaa za hao vijana wenu Au umesahau Mh Lema? Ukawasimanga sana police ambao wanalinda mikutano yako au hukua wewe? Leo unataka police wakusaidie nini acha unafiki mshamba wewe
@godbless_lema Utalii gani unaongelea wewe??? Nyie si ndo mlianzishaga kampeni ya kupinga utalii mkafeli Mungu akawadhalilisha watalii wakamiminika?? Achana na serikali wewe hangaika na uchochezi kama kawaida yenu maana ndo ajenda zenu kwakua familia zenu hazipo hapa Tz usituchoshe bwana
@BarelySammy@VitusNkuna@Sativa255 Huyo Mh Dkt.Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hutaki kajenge nchi yako uchague Rais wako ila kama upo Tz Msitari mmoja Dkt Samia Suluhu acheni harakati za kishamba
@VitusNkuna@Sativa255 Acheni wivu na nongwa haviwasaidii bwana mwacheni Abdul wa watu kwani kosa lake nini nyie mmejaa wivu na roho za kwanini hamna lolote