@lifeofmshaba Kwanini kusifanyike upanuzi na uboreshaji mkubwa wa uwanja wa ndege wa Mwanza na badala yake wanataka kujenga uwanja mpya eneo hilohilo? Ujinga wa fikra za ujenzi wa uwanja wa ndege Chato ndizo hizohizo zinataka kufanyika kwa Serengeti. Huu ni upigaji mwingine na wizi mwingine!!
@PMadeleka Sisty Nyahoza amesuguka kweli kwa kutenda uovu. Saa zote, wakati wote anaiwaza na kuiwinda CHADEMA. Polisi walikuwepo mkutanoni, kama hayo yangekuwa ni makosa kwa kuwa kwa tafsiri yao ni "matusi", si wangewakamata wahusika? Sisty Nyahoza ni spika tu, mtoa sauti yuko somewhere!!
@godbless_lema Akili na ufahamu wao umefungwa. Hakuna coordination ya ku-mantain uongo na udanganyifu wao. Sasa kila mmoja anajiropokea tu. Si muda mrefu watatajana kuanzia aliyetoa amri ya "SHOOT AND KILL", aliyeshika na kufyatua bunduki na walioba maiti moshwari na kuzizika kwenye mashimo!
@MariaSTsehai Mmmh🤔🤔, unasemaje MariaSTsehai@?
Kwamba akaunti inasoma 800B TZS? Mtumishi wa umma/Serikali? Kazitoa wapi?
Kama huyu ana mapesa hayo, Muuaji Samuya atakuwa na ngapi? Mwigulu Nchemba atakuwa ngapi? Haa haa😭😭😭, nchi inaliwa na wenye meno kwelikweli!!
@millardayo Hata kama ni kweli. Katika wafungwa wote, akamtafuta "aliyelawiti" na kubusiana naye hivi🤔🤔❓ Au zile tetesi kuwa naye Samuya ni msagaji ni za kweli maana ndege wafananao huruka pamoja❗❓
@MariaSTsehai@YerickoNyerereT Nyerere huyo. Ameshangaa CHADEMA kuungwa mkono kiasi kile hata baada ya kuwa kifungoni kwa takribani mwaka mzima huku CHAUMA yao wakiendelea kula ubwabwa maharage, wasiweze kufanya mkutano hata mmoja!!
@trending_news72 When couple decides to dissolve their marriage, usually they share everything they earned together. Why this is different to Eboue? Why this mzungu lady took everything ?
@Royal_Tv_Tz Very good timing. Huyu ni miongoni wa waliokwisha kuvuta mulungula wa awali ili kukisaliti chama. Wakawa wanamuandalia na interview ktk media mbalimbali kumkandia mkiti/ Tundu Lissu na chama kwa ujumla akidhani kwa ujinga wake huo anaweza kubadili msimamo rasmi wa chamaanaa
@ben32923@Royal_Tv_Tz Hata kusoma na kuilewa hiyo barua huwezi? Huyu hajapishana na wenzake tu bali anafanya subotage ya waziwazi kwa chama. Aneitwa kwenye kikao rasmi ili kujibu tuhuma zake na kujitetea, napo amegoma. What do you they should've done to this traitor?
@barakawamb 1. Walihusika na vurugu:
==Hivi kumbe waliokuwa wanaandamana walikuwa na chata za CHADEMA usoni siyo? Mjinga wewe huna akili
2. Walioshika bunduki na kupiga risasi watu hovyohovyo barabarani na majumbani ni CHADEMA siyo?
===Mjinga wewe na huna akili upstairs🤣🤣
@MICHAELSHAYO1@HecheJohn Toa ujinga wako hapa. Malengo ya chama chochote cha siasa ni kutwaa dola na kuongoza serikali kwa kukosoa sera za chama kinachoongoza sasa. Heche/CHADEMA are doing it perfectly. Hapa amekosoa sera ya kodi ya CCM kinachoongoza serikali. Kama vipi refute it, itetee tuone uzuri wake