Asante Dkt. Joshua Maponga kwa kuweka rekodi sawa. Kwa bahati mbaya Waafrika wenzetu kama Larry Madowo wakitumika kusafisha uchafu uliofanywa na Watanzania wenzetu walioamua kuwa wanaharakati dhidi ya maslahi na mustakabali wa Tanzania.
@Liberatus80@tausilikokola Manina.. Watoto wa kibaraka wanakula maisha tu ughaibuni.. halafu watoto wa masikini wanapelekwa front line wakaandamane. Kweli ujinga mzigo