@HildaNewton21@Grayhair4523762@Mwabuk2Boniface Naunga mkono hoja!
Mfumo wa vyama vingi umekuwa mateso makubwa kwa wtz! Unatumika kuzalisha na kulindana kwa mafisadi kwani kwa sasa ukionekana unakomoa wapinzani wewe unakula shavu
@HildaNewton21@Mwabuk2Boniface Hii ni ya kupigia mstari. You can’t have your cake and eat it! Kama hauko tayari kugawana madaraka na vyama vya upinzani, ni heri ufute kabisa siasa za vyama vingi. Tunapoteza rasilimali watu, fedha na muda kwenye maigizo ya sasa
This interview with @Sativa255 is incredible. So brave to tell the story of how he was abducted, beaten, shot in the head and left for dead.
It is from the latest #BBCAfricaEye investigation, revealing the deadly consequences for critics the Tanzanian Government.
As the ICC prepares a landmark dossier on the 2025 massacres, ➡️ https://t.co/gNvNuLUJpN President @SuluhuSamia is trading state funds for Republican influence in a desperate bid to escape global pariah status.
@mangekimambi Waliomsaliti Polepole ni maiti sasa.
Hii iko hivi, ukijipeleka ati una information, genge litajaribu kuhakikisha intel yako na watakupa hata front money. Kama ni
1. uongo watakuua
2. ukweli, watatimiza maazimio yao kisha watakuua
NO WITNESSES!
Wasaliti watarajiwa, jitafakirini
Cha kusikitisha walimchukua mtu ambae sio muhusika. Yani muhusika ndio alikuwa ananihadhithia jinsi walivyovamiwa pale airport na mtu waliembeba. Hata zile picha za nyumbani kwa Abdul , wafanyakazi kibao walikamatwa mpaka ambao walikuwa washaacha kazi except jamaa alietuma mzigo. Hata zile document za wizara ya fedha kutoa pesa kwa kina Lugumi na kutoa pesa kwa usalama wa taifa kwa akili ya ‘kazi maalum’, walikamata watu kibao wizarani kasoro alietuma mzigo. Yani haya majamaa hayana intelligence yoyote ya maana ndo maana walishindwa kumpata Gwajima na huku alikuwa hapo hapo Dar. Polepole waliweza kumpata sababu ya betrayal tu ila sio kwamba walimpata kwa ujuzi wao.
Hata kama ingekuwa sio picha za mwaka huu; unajiuliza huyu mtoto wa Rais ana uhusuano gani na mkuu wa majeshi ya Uganda? Awali zilionekana picha kati yake na Museveni. Tukasikia majeshi ya Uganda yalipenyezwa TZ 29.10.2025.
Yupo juu ya vyombo vyote vya dola? Anatumwa na nani?
Waziri wa serikali batili ya mambo ya NDANI akipimana Nguvu na mwananchi
Yeye ni mwana sheria lakini mwananchi amemzidi hoja akaamua kupandisha jaziba
sasa mtu mjinga wa namna hii anawezaje simamia bunduri za nchi nzima?
kama hapa tu anagombana namna hii, ukimkoroga kwenye kwa siri huko? si inakuwa kama Mc Pilipili
@Sativa255 Tatizo sio kutoa michango inayotajwa mwandishi anajaribu kutufikirisha kama Taifa kipaumbele chetu ni kitu gani!, mbona tuna spend pesa nyingi sana kwenye mambo ya ziada kuliko yale yenye tija kwa Taifa.
Huge demonstration protest during the burial of bodaboda driver in Tarime after the 18 year old was murdered by the police @tanpol
The crowd is chanting Samia is a killer, Police are killers! The fear is gone! Tanzania is simmering! #Tanzania
🔥 Tarime always wako mbele kudai haki
Samia na kikosi chake cha kigaidi kinachovaa sare za polisi @polisi.tanzania ni wauaji! Vijana wamesema ukweli!
Sijui mmepanga kuua watanganyika wote?
Hamtaweza #SamiaMustGo #TutaelewanaTu