@TMnyama4_ Mimi imenikuta mara mbili mara ya kwanza Mlimani city mara ya pili Makambako zote elfu kumi hazikuwepo na nilikua nazihamisha TU kutoka benki moja kwenda nyingine
@rollymsouth Mi niseme ukweli TU mwanamke ukijitia feminist Kaa kwenu usije kwangu Aya mambo haya ni upuuzi unaoletwa na wazungu waje kutawala Dunia kirahisi baada ya kutuua wanaume wote mi kwangu mwanamke lazima awe chini yangu atake asitake