@Mubenga_@Mwitah_tz Mizigo inaenda dodoma.. ikifika dodoma malori wanapokea na wanapita ring road kuuacha mji uendelee hapo katikatii
In long term safari za sgr zikianza safari zake Mwanza mambo yatakuwa safii
@chapo255 Unaenda kutambulisha wimbo unaanza kuulizwa somo lako pendwa?? Vipi shule unapenda nini?
Like serious??
Dogo anajipambania Yes na kushauri ni sawa lakini sio kwa design ile