@Sativa255 Huyu mtoto KHANISI sana kwanza AKILI yake NDOGO SANA. YAANI WATU WAKAZANE KUFATA MIKEKA YA SATIVA WAKATI NI MATANGO PORI? KWAMBA SATIVA, SPORTYBET na WACHEZAJI WA URENO JUZI WOTE WALIKAA MEZA MOJA NA KUSEMA URENO ASIPATE GOLI ILI SPORTYBET AVUNE? OK VIPI WALIO CASHOUT? MKUNDU UYU
@mafolebaraka Alafu betting sio siri ni risky mtu anachagua coastal anashinda mbele ya simba… wewe unamfata tu bila kujua ni high risk? uzamwamwa… ungesema timu zinauza mechi hio ni myth ambayo ata mkamalia hakupingi.
@mafolebaraka Wewe jamaa ni zamwamwa kabisa… betting cha kwanza sio 100% ndio maana ukaitwa ubashiri ujinga ni kuvamia usichojua!kamali watu wanafata code za influencers ambao wanashinda..kushinda ndio mtaji wa influencer! Uyo influencer anaeshindwa kila siku na bado ana watu ni baba yako au?
@Sativa255 Acha ujinga wewe…kwanza acha fananisha level ya Carter na Buse 😂😂😂… yule hana content zaidi ya kuweka matango kwenye boxer! Mbona uyo msanii aliwasupport kina Hanscana… hao content creators WAPAMBANE kwanza wawe kwenye LEVELS flani kabla hujamuita mtu wa status ya Simba.
@mangekimambi Most of us tuko hapa sababu ya ule msemo “the enemy of your enemy is my friend” DO NOT GET IT TWISTED WEWE KIZEE…There is a reason kwanini VIJIHARAKATI vyako kwa MAGU vilikua VINAGONGA MWAMBA. Majority TULIMPENDA TUNAMPENDA NA ATAISHI KWENYE MIOYO YETU!
@ze_mandevu Katika harakati zake za kujifanya anajua kila kitu, alibisha babalevo kudai alipoteza mabegi yake airport akiwa safarini kurudi tz toka us, alidai baba levo alipokea pesa nyingi za wana kuwaletea simu zao akazitumbua na kuamua kuzuga na stori ya begi.
@ErickKamihanda Aura ya Diamond is unmatched.. anaweza kua kapitwa vingi na Kiba kwenye mziki hasa maswala technical ya sauti… ila u “STAR” BIG NO… au pengine ndugu yetu unahisi usuperstar ni kua handsome au good looking zaidi? Diamond is a star akifika sehemu huitaji maelezo ata kama humjui!
@ErickKamihanda Sema wewe jamaa una take za kifala sana toka jana unatrend kwa take za kipuuzi. Hao wasanii wawili wakitokea tu sehemu ata apo nje kwako ukawaona mwenyewe utajua nani ana nyota ya usuperstar zaidi.