@chapanombombwi Ishu ni hii adui wao mkubwa ni sisi asee tunaowatomba hawa madogo,maana hawatombwi na mtu mwingine zaidi yetu wanaume na inaleta picha kua adui wa mwanaume mvivu na mshenzi ni mwanaume pia,kuna time sisi ndo tunatakiwq tusiwatombe aseee
@SimpertE@godbless_lema katafte story nzima mkuu wa mkoa alimkamata huyo jamaa anataka kutapeli kanisa la EAGT tabora katika kumpekua ndo akakuta ametapeli watu wengi kwa kujifanya kipenyo,mara diaspora na mkimbizi wa kisiasa ndo mange akachomoa na akafika mpaka kwa heche hii imekatwa tu sijui why
@wizokolo@godbless_lema kataja mawaziri kadhaa ila kasema katkka hao hajawahi wasiliana alikua akikamatwa anawatishia majina na namba za simu sikiliza vizuri kisha pia katafte video nzima
@JovithModest88@godbless_lema aseee sahivi watu tumekua wavivu sana kutafta taarifa ukiona taarifa kama hii angalia imeanzia katikati au ndo amenza yani hayo maelezo hayahusiani na kumtega heche wala mange ila mkuu wa mkoa alianza mwanzoni kabisa kuelezea jamaa alivyokua anajaribu kuwatapeli watu mpaka wanasi
@patrickpet59538 @HildaNewton21 Mange akamwambia hana hela,ndo katika upekuzi wakakuta after kijibiwa na mange sms zile zile akawa anamtumia heche pia na heche hakujibu mkuu wa mkoa hajamtuhumu mtu tafta video achana na hii iliyokatwq kwaajili ya mtaji wa kisiasa
@patrickpet59538 @HildaNewton21 Nakushauri tafta video nzima wala mkuu wa mkoa hana shida alikua anaelezea jamaa alivyojaribu kutapeli watu kwa kofia mbalimbali ikiwemo diaspora, kitengo,mkimbizi wa kisiasa nk,na katika ishu ya ukimbizi wa kisiasa ndo alimtqfta mange akamwambia amsaidie yupo Nairobi mange akata
@MariaSTsehai Hakuwahi kujibu hayo yote yamekutwa kwenye simu yake na amekamatwa akijaribu kuliibia kanisa la EAGT huko tabora hivyo nimeona kipande kinachosambaa kimekatwa na wakati yule mkuu wa mkoa alikua anafafanua namna jamaa alivyokua anatapeli watu mpaka kufikia ku tapeli mange na heche
@MariaSTsehai Maelezo ya huyo jamaa mmeamua kuyakata na kubaki na hicho kipande,nimefatilia video nzima huyo jamaa ni mwizi na scummer alijaribu kuwaibia hao watu akijidai ni mkimbizi wa kisiasa aliyeko Kenya mange akamwambia hana hela ya kumpush akamgeukia heche kwa maelezo ya mkuu wa mkoa
@krapfthe67@emabilly2001 oyah penadu inasaidia kweli maana pawa safe na metro na doxy bado imo,meza cefixime bado inasumbuaa meza azuma bado Imo inafanya kulala tu je hiyo penadu itasaidia tutumie