It is with profound sadness that I join Barbados, the Caribbean and the cricketing world in mourning the passing of The Right Excellent Sir Garfield Sobers, our Sir Garry.
From Bay Land to Kensington and onto the world stage, he carried Barbados and the West Indies with distinction. He made us all stand a little taller as Barbadians, and I will always be grateful for what he gave to our country and our people.
I extend my deepest condolences to his family and all who loved him.
Today has been declared a Day of National Mourning. Flags will be flown at half-mast, no official functions will take place, and details of the State Funeral will be announced.
Barbados stands. The West Indies stand. The world stands.
Well played, Sir Garry. Well played.
The Law of Mount Everest
Na Rev Peter Simon Msigwa
The Law of Mount Everest
inseama
“As the challenge escalates, the need for teamwork elevates.”
(“Kadiri ukubwa wa changamoto unavyoongezeka, ndivyo umuhimu wa timu bora unavyoongezeka.”)
Maana yake
Maxwell anatumia mfano wa kupanda Mlima Everest. Hakuna mtu anayepanda Everest peke yake kwa mafanikio makubwa. Unahitaji:
Waongoza njia (guides),
Wataalamu wa hali ya hewa,
Madaktari,
Wabeba mizigo (Sherpas),
Vifaa sahihi,
Mawasiliano,
Na kila mmoja afanye kazi yake.
Mtu mmoja, hata akiwa na kipaji kikubwa kiasi gani, hawezi kufanikiwa peke yake.
Somo kwa viongozi
Kadiri nafasi yako ya uongozi inavyokuwa kubwa:
Huwezi kufanya kila kitu mwenyewe.
Lazima ujenge timu yenye watu wenye uwezo kuliko wewe katika maeneo mbalimbali.
Lazima ujifunze kuamini, kugawa majukumu na kuwapa wengine nafasi ya kuongoza.
Mifano
Nelson Mandela alijenga timu iliyowajumuisha watu wenye mitazamo tofauti ili kuiongoza Afrika Kusini baada ya ubaguzi wa rangi.
Steve Jobs alikuwa na maono makubwa, lakini mafanikio ya Apple yalitegemea pia timu ya wahandisi, wabunifu na viongozi kama Tim Cook na Jony Ive.
NASA haikufikisha mwanadamu mwezini kwa sababu ya mwanaanga mmoja; ilikuwa kazi ya maelfu ya wanasayansi, wahandisi na mafundi.
Somo kwa Tanzania
Changamoto za taifa kama ukuaji wa uchumi, ajira kwa vijana, elimu, afya, nishati na uwekezaji haziwezi kutatuliwa na mtu mmoja au taasisi moja. Zinahitaji ushirikiano wa:
Serikali,
Sekta binafsi,
Bunge,
Mahakama,
Wasomi,
Viongozi wa dini,
Asasi za kiraia,
Na wananchi.
Kadiri changamoto za taifa zinavyokuwa kubwa, ndivyo umuhimu wa kujenga timu zenye uwezo, kuheshimu taaluma, na kuchagua watu kwa merit badala ya upendeleo unavyoongezeka.
Hoja kuu ya Maxwell ni hii: Hakuna kiongozi anayefika “kileleni mwa Everest” akiwa peke yake. Mafanikio makubwa yanahitaji timu kubwa, yenye uwezo na inayofanya kazi kwa umoja.
"Usisubiri Mkombozi, Kuwa Sehemu ya Suluhisho."
Kama unaamini Tanzania inaweza
kuwa bora zaidi, usiishie kulalamika.
Changia uwezo wako ili kujenga
chama kinachosimamia sauti ya wananchi. Mabadiliko huanza na wewe.
M-PESA: CHADEMA HQ -
0744446969
CHADEMA NMB: 22606600140
Lawyers, a profession built on trust can't keep treating every departure as treason. Honor the exit and you keep the relationship. Burn it and you keep the grudge.
@mendez_m_c_a Inamaana waliofanya supplementary ndio waliofanya udanganyifu? Kivipi? Hao wasimamizi wakawaangalia tu mpaka wakamaliza mitihani ya masomo yote? Hiyo mitihani ya masomo yote walifanya kwa siku Moja? Kwatafakari yakawaida maswali ni mengi! Kwa hiyo wale fresh hawawezi kudanganya?
@mendez_m_c_a Nafikiri wakuwajibika ni custodian wa hiyo mitihani, invigilators,na chombo kinacho coordinate hiyo mitihani na si wanafunzi! Maoni yangu vijana waende Mahakamani tu! Nafikiria pia vijana watakuwa wamepoteza muda na gharama pengine zilizotokana na uzembe!Ulinzi wote ule how?!!!
Ni kweli hakuna uhuru usio na mipaka. Lakini ni kweli pia kuwa hakuna mamlaka isiyo na mipaka.
Katika utawala wa sheria, haki za wananchi na mamlaka ya dola vyote vina mipaka inayowekwa na sheria na Katiba. Ndiyo maana malalamiko kuhusu matumizi ya nguvu, ulinzi wa haki za msingi na uwajibikaji yanapaswa kuchunguzwa kwa uzito, badala ya kuonekana kama hoja za kisiasa pekee.
@MO29TV Huu utamaduni wa kikabila tumezoea kusikia kwa Wakikuyu,Luo,Kamba,Luhya,Baganda,Ankole umeanza kufika na kwetu? Mwalimu aliwahi kusema '....kwani tunatambika?' ni wasihi huko wanakoelekea sio kuzuri hawa wazee waache! Nimaoni yangu!
@GillyBonnyTv Ajabu sana ninyi waandishi,ningeshukuru mhetumia huu mwezi kuchambua taarifa ya CAG ungekuwa umenisaidia kutathimini namna bajeti itakavyo enda kutekeleza miradi na kutoa nafuu ya gharama ya maisha ya mwananchi,kunasiku mtaanza kutuelezea wanawalipia ada za sekondari ndugu zao!
@bwaya@ezekiel_kamwaga Nimekuelewa hasa 'low produces lower...tunayo' hata mimi nimeiona kwenye hiyo lower ambayo imekuwa produced. Sijui kama hiyo lower imekuelewa after all those years tunaiona humu!