Waheshimiwa Jamhuri ya twitter salaam nawaandikia✍️
Hizi hapa chini ni namba za simu za wabunge wote wa @BungeTanzania mtumie ujumbe wa kukera mbunge wako mwambie aache kuwa dalali wa kuuza bandari✍️
Ahsanteni
@thomasgoodluc_@naspic@George_Ambangil Oya mzee kati ya vitu unavyoweza kunivunjia heshima ni kumsema mamangu vibaya ambapo hajui hata kama nimeandika haya mambo mtandaoni......kama umelelewa mtaan jaribu kuheshimu wamama wa watu fala wew