BA Sociology π¨βπ. Manhood is a precious thing π§. Always looking for a better life.. Manchester United and Simba FC aficionados. WE MOVE π€
Financial comfort saves you a lot of trouble kama mwana. Knowing tunaweza fanya mambo yako bila kutegemea hisani inakupa ujasiri wa kukabili siku bila hofu. I pray wana tufikie hizi hatua. Na ndio maana siwezi beza mwana mtafutaji as broke. Kukosa hela inatafuna sana for a man.
Tarehe 23/08/2025 TUKUSA FESTIVAL itakuwa ZANZIBAR PAJE BEACH:
VENUE:BENTO
Hakuna Kiingilio pia utapata Machata Ya Unju kuanzia Hoodies/Pullovers na Tshirts bila kusahau ALBUMS/MIXTAPES na EP.
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Ushindi wenu ni furaha kwa mashabiki wenu na burudani kwa Watanzania wote. Ninawatakia kila la kheri katika Nusu Fainali.
Sehemu kubwa ya Watanzania hawafahamu haki zao za msingi kama zinavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria nyingine. Msaada wa kisheria hutoa elimu ya kisheria kwa jamii, jambo linalosaidia kuongeza uelewa wa masuala ya sheria na kuwajengea uwezo wa kulinda na kudai haki zao. #MSLAC. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko @katibanasheria_ @prof.kabudipjam @victoria.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi