Kuna Mambo Mawili ambayo unatakiwa yasikupotezee Muda wako kabisa.
1. Mambo ambayo unahisi sio ya Msingi kwako.
2. Watu ambao wanakuona wewe sio wa maana kwao!
#sundayevening ๐
Blaza hakunaga injili yenye alama ya kiganja na kopa katikati. Alama ya Injili ni MSALABA.
Nawe utakuwa ni muumini wa mashoga kama ukiendelea kuamini mkuu wa Mkoa hajafanya fair.
Punguza harakati na sio lazima kila kitu ukisemee.
Nasisitiza tena kuwa hatua ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuzuia mahubiri ya Injili haikuwa sahihi, hasa kwa kigezo cha kuwepo kwa kitabu chenye rangi hizo bila hata kuzingatia maudhui yake. Rangi hizo si za LGBTQ+ moja kwa moja; ni rangi za kawaida zinazotumika katika maisha ya kila siku. Hivyo basi, jambo hili halipaswi kuonekana kama vita dhidi ya ushoga, bali linaashiria mwelekeo wa vita ya kiroho na udhalilishaji wa imani.
Kuwa sensitive kupita kiasi na kuongozwa na hisia kali katika suala hili kunachochea kile kile kinachopingwa au kukatazwa na maadili yetu na Mungu mwenyewe. Hatuwezi kumpa shetani mamlaka ya kiwango hicho kwa misingi ya hofu, wakati hofu hiyo inapaswa kushindwa kwa tabia njema na kumcha Mungu.
Kwa mantiki hiyo, kuzuia mahubiri haya ni sawa na kudai kwamba Injili ya Kristo iliyohubiriwa hadharani Tabora ilikuwa inalenga ku-promote LGBTQ+, jambo ambalo ni hatari kubwa kwa imani ya Kikristo na heshima yake.
Aidha, pale mtu anapokosa umakini wa kufikiri kwa kina, hushindwa kuona namna vita ya kiroho na imani inavyoendelea kudhoofisha heshima ya Ukristo katika jamii kupitia maamuzi ya kukurupuka. Kama kweli kulikuwa na mahubiri yaliyohamasisha ushoga hadharani, basi ni wajibu wa vyombo husika kuwachukulia hatua wote waliohusika wakamatwe, washitakiwe na wawajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi.
Vinginevyo, hatua kama hizi hubaki kuwa ni mbwembwe zisizo na msingi. Hatari kubwa ninayoiona ni kwamba, siku zijazo, kuhubiri Injili hadharani kunaweza kuanza kuchukuliwa kama jambo gumu au lenye vikwazo vingi, sawa na changamoto zinazoonekana katika shughuli za kisiasa leo.
KOCHA FADLU AMEAMUA KUONDOKA SIMBA SC.
Kocha mkuu wa Simba Fadlu Davids, ameamua kuondoka Simba na huenda akajiunga klabu ya nyumbani kwao Afrika Kusini Kaizer Chiefs, pia Raja wanataka kumrejesha lakini mpaka sasa Kaizer wako mbele. MO amejaribu kumuongeza pesa, amegoma kabisa.
Kwa Wanasimba wote, asanteni kwa ushirikiano ambao mmetupatia kwa msimu wa 2024/25. Tunajivunia kuwa na mashabiki kama nyie ๐ #THISISSIMBA#NguvuMoja
TFF wanasema wanawadai Yanga bila kutaja kiasi wanachodai huku Yanga wana kias halisi wanachodai,kwa hali hii ina maana kuna uwezekano mkubwaa taarifa za fedha pale TFF hazipo sawa na uwezekano wa kuwa na forging document ktk kufunga mahesabu,ni wakat wa TAKUKURU kuchukua hatua.