#TajirLaKihaya
Kwa jinsi naona Mabinti waChuo wanachofanya/wanachofanywa… kwenye hizi Clubs Usiku….
Inabidi wazazi tugome kuwapeleka watoto wetu Vyuoni hadi Serikali ituhakikishie Usalama wao hasa wa kimaadili!
Serikali inafaa iwaProtect hawa watoto… ikiwezekana kuweka sheria kali!
Huu UHURU umepitiliza aisee na tunao umia ni sisi Wazazi💔💔