@nyuki_malkia#Basibana inabidi tuwapunguze kama kwenye shida na mipito hawawezi kuwa na sisi wakitoa wanataka tuwa support haiwezikani twendeni tuka unfollow mastaa na influencers pia ata vyombo vya habari vioga
@ze_mandevu#Basibana unajua kuamushwa usingizini ni sawa lakini sio kwamba wengi wetu Watanzania hatupendi kuamuka lakini kuna roho ya uoga imepandikizwa kwenye akili yetu na mioyo yetu na tukisha kula na kunywa tunasahau kuangalia mbele maisha yatakavyoenda
Kuomba ni aibu ya kwanza, kunyimwa ni aibu ya pili,na kutangazwa ni aibu ya tatu.๐
Pambana sana kutafuta pesa umaskini unadhalilisha sana๐
Good morning familia๐ฅฐ