@TBoundBuses Shida ni kwamba Mkoa wa Tanga unakuwa slow sana.
Nina plot huko valuation ni around 5m Kwa ukubwa huo huo hapo Goba Valuation unaweza enda Hadi 60m.
Mkoa wa kifala sana
@Narrowbeeflying Mimi nilikuwa free staili siku nikiamua naanzia chini kwenda juu au juu kwenda chini au sometimes navuruga vurunga Hadi namaliza
41-50 nilizipiga sana enzi zile
Kwa wale wa zamani kama mjua mwalimu IBUNGA wa mabibo nimepiga sana pepa zake
@Sincerelyrahma7 Niliwahi Safiri na moja kutoka Chuga saa 2.00 usiku mzizima tukatika saa 11 alfajiri.
Gari inatoka Chuga saa mbili nafunga macho kidogo kushtuka tuko Liverpool mombo kucheki saa saa 6