Haja kiri kuwa watu zaidi ya elfu 3 wameuwawa kwa kupigwa risasi. Hajaomba msamaha. Hajatoa pole. Hajutii. Anatoa vitisho zaidi asitunishiwe msuli. Watu wake wanaendelea kuuwawa. Hana utu. She is evil. A criminal!
Sauti za kukemea UTEKAJI, UUAJI na KUUMIZA Watanganyika zinaongezeka kwa kasi kubwa sana.
Mtumishi hapa naye amepita alimo pita jasiri Josephat Gwajima.
Haya sasa, nendeni mkafungie na hili kanisa kama mlivyo fungia Ufufuo na Uzima.